2 Samuel 22:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta, sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimewafuatia adui zangu, na kuwaangamiza; Wala sikurudi nyuma hata walipokomeshwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nilifuatia adui zangu na nikawaseta; sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimewafuatia adui zangu, na kuwaangamiza; Wala sikurudi nyuma hadi walipokomeshwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na niwakimbize adui zangu, mpaka niwaangamize; sitarudi nisipokwisha kuwamaliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimewafuatia adui zangu, na kuwaangamiza; Wala sikurudi nyuma hata walipokomeshwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwafuata waadui zangu na kuwaangamiza; sikurudi nyuma mpaka wamemalizika.