2 Samuel 22:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nimewakomesha na kuwapiga-piga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nimewakomesha na kuwapiga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawamaliza na kuwaponda, wasiinuke tena, sharti waanguke miguuni pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nimewakomesha na kuwapiga-piga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwamaliza kabisa. Hawakuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu.