2 Samuel 22:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwita Mwenyezi-Mungu astahiliye sifa anisaidie, nami naokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ninamwita Mwenyezi Mungu, anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa; Hivyo nitaokoka na adui zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwita Mwenyezi-Mungu astahiliye sifa anisaidie, nami naokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namwita BWANA, yeye anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninamwita bwana, anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa; Hivyo nitaokoka na adui zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwita Mwenyezi-Mungu astahiliye sifa anisaidie, nami naokolewa kutoka kwa adui zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atukuzwaye ndiye, ninayemwitia; ndipo, ninapookolewa mikononi mwao walio adui zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa; Hivyo nitaokoka na adui zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamwita Yawe anayestahili sifa anisaidie, nami ninaokolewa kutoka kwa waadui zangu.