2 Samuel 22:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana umenifunga mshipi wa nguvu kwa vita; Umenitiishia chini yangu walioniondokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu kusujudu miguuni pangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana umenijaza nguvu ya kupigana vita; Ukawafanya adui zangu wafifie chini yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hunivika nguvu ya kupiga vita, huwalaza chini yangu wao waniinukiao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana umenifunga mshipi wa nguvu kwa vita; Umenitiishia chini yangu walioniondokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha waadui chini yangu.