2 Samuel 22:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipiga yowe, lakini hapakuwa na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi Mungu, lakini hakuwajibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walitazama, lakini hakuna wa kuokoa; Walimwita Bwana, lakini hakuwajibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na ye yote wa kuwaokoa; walimlilia BWANA, lakini hakuwajibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia bwana, lakini hakuwajibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walitazama, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; Walimwita BWANA, lakini hakuwajibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitafuta msaada, lakini hapakuwa na wa kuwaokoa, walimlilia Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwajibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna mwokozi, wanapolalamika, wanapomwitia Bwana, hawaitikii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walitazama, lakini hakuna wa kuokoa; Walimwita BWANA, lakini hakuwajibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitafuta musaada, lakini hakukukuwa wa kuwasaidia; walimulilia Yawe, lakini hakuwajibu.