2 Samuel 22:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwatwanga na kuwaponda kama mavumbi ya nchi, nikawaponda na kuwakanyaga kama matope barabarani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikawaponda kama mavumbi ya nchi, Nikawakanyaga kama matope ya njiani, nikawatawanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwatwanga na kuwaponda kama mavumbi ya nchi, nikawaponda na kuwakanyaga kama matope barabarani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwapiga wakawa laini kama mavumbi ya nchi; nikawaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikawaponda kama mavumbi ya nchi, Nikawakanyaga kama matope ya njiani, nikawatawanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwatwanga na kuwaponda kama mavumbi ya nchi, nikawaponda na kuwakanyaga kama matope barabarani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawaponda, mpaka wabunguke kama mavumbi ya nchi, nikiisha kuwaseta, niwazoe kama mataka viwanjani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikawaponda kama mavumbi ya nchi, Nikawakanyaga kama matope ya njiani, nikawatawanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwatwanga, wakakuwa kama mavumbi, nikawaponda na kuwakanyaga kama matope katika barabara.