2 Samuel 22:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu wangu, umenifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. Watu ambao sikuwajua wananitumikia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umeniokoa na mashindano ya watu wangu; Umenihifadhi niwe kichwa cha mataifa; Watu nisiowajua watanitumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu wangu, umenifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. Watu ambao sikuwajua wananitumikia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu; umenihifadhi mimi kama kiongozi wa mataifa. Watu ambao sikuwajua wananitumikia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umeniokoa na mashindano ya watu wangu; Umenihifadhi niwe kichwa cha mataifa; Watu nisiowajua watanitumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu wangu, umenifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye magomvi yao walio ukoo wangu ulinitoa, ukaniangalia, nipate kuwa kichwa chao wao wamizimu, watu, ambao nilikuwa siwajui, wanitumikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umeniokoa na mashindano ya watu wangu; Umenihifadhi niwe kichwa cha mataifa; Watu nisiowajua watanitumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu wangu, ukanichunga kuwa mutawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia.