2 Samuel 22:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wageni walinijia wakinyenyekea, mara waliposikia habari zangu walinitii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wageni watanijia wakinyenyekea; Kwa kusikia tu habari zangu, Mara watanitii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wageni walinijia wakinyenyekea, mara waliposikia habari zangu walinitii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao wageni huja wakininyenyekea; mara wanisikiapo, hunitii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wageni walinijia wakinyenyekea; Mara tu waliposikia habari zangu, Walinitii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wageni walinijia wakinyenyekea, mara waliposikia habari zangu walinitii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watokao mbali hunipongeza, masikio yao yanaponisikia, hunitii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wageni watanijia wakinyenyekea; Kwa kusikia tu habari zangu, Mara watanitii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wageni walinifikia wakinyenyekea; waliposikia tu habari zangu, walinitii.