2 Samuel 22:49 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ameniokoa kutoka adui zangu. Ee Mwenyezi-Mungu, ulinikuza juu ya wapinzani wangu na kunisalimisha mbali na watu wakatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aniwekaye huru toka kwa adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kunileta nje nitoke kwa adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia; Waniponya na mtu wa jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ameniokoa kutoka adui zangu. Ee Mwenyezi-Mungu, ulinikuza juu ya wapinzani wangu na kunisalimisha mbali na watu wakatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aniwekaye huru toka kwa adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aniwekaye huru toka kwa adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuniokoa kutoka kwa adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia; Ukaniokoa kutoka kwa watu jeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ameniokoa kutoka adui zangu. Ee Mwenyezi-Mungu, ulinikuza juu ya wapinzani wangu na kunisalimisha mbali na watu wakatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye aliyenitoa mikononi mwao walio adui zangu, kwao waniinukiao ukaniweka kuwa mkuu wao, kwao waliozidi kunikorofisha ukaniponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kunileta nje nitoke kwa adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia; Waniponya na mtu wa jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ameniokoa kutoka waadui zangu. Ee Yawe, ulinitukuza juu ya wapinzani wangu na kuniponyesha kutoka watesaji wakali.