2 Samuel 22:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mawimbi ya mauti yalinizunguka, maji mengi ya ghafula ya uharibifu yalinifunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mafuriko ya maji yauayo yalikuwa yameniasamia, nayo majito yaangamizayo yalinistusha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mawimbi ya kifo yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinishambulia,