2 Samuel 22:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nitakusifu, Ee Mwenyezi Mungu, kati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nitakusifu wewe, Ee BWANA, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nitakusifu, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nitakushukuru, Bwana, kwenye wamizimu, nalo Jina lako nitaliimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.