2 Samuel 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu, nilimlilia Mungu wangu. Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika masikioni mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika shida yangu nalimwita Bwana, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika shida yangu nilimwita BWANA, nilimwita Mungu wangu. Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika masikioni mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika shida yangu nalimwita bwana, nilimlilia Mungu wangu. Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika masikioni mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika shida yangu nilimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo niliposongeka nalimwita Bwana, yeye aliye Mungu wangu nikamlalamikia, akaisikia sauti yangu Jumbani mwake, malamamiko yangu yakamwingia masikioni mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika shida yangu nalimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika taabu yangu, nilimwita Yawe; nilimwita Mungu wangu. Toka katika hekalu lake alisikia sauti yangu; kilio changu kilifika katika masikio yake.