2 Samuel 22:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hapo, dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya mbinguni ikayumbayumba na kuruka, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia ilitetemeka na kutikisika, misingi ya mbingu ikatikisika, vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nchi ilipotikisika na kutetemeka, Misingi ya mbinguni ikasuka-suka Na kutikisika, kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hapo, dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya mbinguni ikayumbayumba na kuruka, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Dunia ilitetemeka na kutikisika, misingi ya mbingu ilitikisika, vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Dunia ilitetemeka na kutikisika, misingi ya mbingu ikatikisika, vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nchi ilipotikisika na kutetemeka, Misingi ya mbinguni ikasukasuka Na kutikisika, kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hapo, dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya mbinguni ikayumbayumba na kuruka, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ikatukutika na kutetemeka, nayo misingi ya mbingu ikatikisika kwa kutukuswa, kwani aliitolea makali yake yenye moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nchi ilipotikisika na kutetemeka, Misingi ya mbinguni ikasuka-suka Na kutikisika, kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya mbinguni ikayumbayumba na kuruka, kwa maana Mungu alikuwa amekasirika.