2 Samuel 22:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moshi ulifuka kutoka puani mwake, moto uunguzao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yalilipuka kutoka kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moshi ukapanda kutoka puani mwake, moto uteketezao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yaliyowaka yakatoka ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kukapanda moshi kutoka puani mwake, Moto ukatoka kinywani mwake ukala; Makaa yakawashwa nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moshi ulifuka kutoka puani mwake, moto uunguzao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yalilipuka kutoka kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moshi ukapanda kutoka puani mwake, moto ulao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yawakayo kwa nguvu yalitoka humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moshi ukapanda kutoka puani mwake, moto uteketezao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yawakayo yakatoka ndani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kukapanda moshi kutoka puani mwake, Moto ukatoka kinywani mwake ukala; Makaa yakawashwa nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moshi ulifuka kutoka puani mwake, moto uunguzao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yalilipuka kutoka kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moshi ukapanda puani mwake, moto ulao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yakamulikamulika mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kukapanda moshi kutoka puani mwake, Moto ukatoka kinywani mwake ukala; Makaa yakawashwa nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moshi ulifuka kutoka katika pua yake, moto wenye kuteketeza ukatoka katika kinywa chake, makaa ya moto yakatokea.