2 Samuel 23:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalipigania na kuwaua Wafilisti, naye Mwenyezi Mungu akawapa ushindi mkubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila huyo alisimama katikati ya konde lile, akalipigania, akawaua Wafilisti; naye Bwana akafanya wokovu mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Shama akasimama imara katikati ya shamba. Akatetea na kuwaua Wafilisti, naye BWANA akawapatia ushindi mkubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalitetea na kuwaua Wafilisti, naye bwana akawapa ushindi mkubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila huyo alisimama katikati ya konde lile, akalipigania, akawaua Wafilisti; naye BWANA akafanya wokovu mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, yeye alipokuja kusimama katikati ya hicho kipande cha shamba, akakiponya akiwapiga Wafilisti. Ndivyo, Bwana alivyowapatia wokovu mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila huyo alisimama katikati ya konde lile, akalipigania, akawaua Wafilisti; naye BWANA akafanya wokovu mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini alisimama imara katikati ya shamba lile kwa kulikinga, naye akawaua Wafilistini. Kwa hiyo, Yawe akajipatia ushindi mukubwa.