2 Samuel 23:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Daudi alikuwa ndani ya ngome, nao askari walinzi wa ngome wa Wafilisti walikuwa huko Bethlehemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi siku zile alikuwa ngomeni, nacho kikosi cha walinzi wa Wafilisti kilikuwamo Beti-Lehemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Daudi wakati ule alikuwa katika maficho, nalo kundi la Wafilistini lilikuwa katika muji Betelehemu.