2 Samuel 23:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akasema kwa hamu kubwa, “Laiti mtu angeweza kunipa maji ya kunywa kutoka katika kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango la mji!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akatamani maji, akasema, “Laiti mtu angenipatia maji ya kunywa kutoka kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akatamani, akasema, Laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akasema kwa hamu kubwa, “Laiti mtu angeweza kunipa maji ya kunywa kutoka katika kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango la mji!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akatamani maji, akasema, “Laiti kama mtu angenipatia maji ya kunywa kutoka kile kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akatamani maji, akasema, “Laiti mtu angenipatia maji ya kunywa kutoka kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akatamani, akasema, Laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akasema kwa hamu kubwa, “Laiti mtu angeweza kunipa maji ya kunywa kutoka katika kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango la mji!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Dawidi akaingiwa na tamaa, akasema: Yuko nani atakayeninywesha maji ya kisima cha Beti-Lehemu kilichoko langoni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akatamani, akasema, Laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akasema kwa hamu kubwa: “Ni nani atakayeweza kunipa maji ya kunywa kutoka katika kisima cha Betelehemu, kinachokuwa karibu na mulango wa muji!”