2 Samuel 23:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akisema, “Kamwe, sina haki ya kunywa maji haya, ee Mwenyezi-Mungu; je, haya si kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kuyaleta maji haya?” Kwa hiyo, Daudi hakuyanywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Iwe mbali nami, Ee Mwenyezi Mungu, kufanya kitu hiki. Je, hii si damu ya watu ambao walienda kwa kuhatarisha maisha yao?” Naye Daudi hakuyanywa. Haya yalifanywa na hao mashujaa watatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Hasha, Bwana, nisifanye hivi; je! Si damu hii ya watu hao waliohatirisha nafsi zao? Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akisema, “Kamwe, sina haki ya kunywa maji haya, ee Mwenyezi-Mungu; je, haya si kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kuyaleta maji haya?” Kwa hiyo, Daudi hakuyanywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Iwe mbali nami, Ee BWANA, kufanya kitu hiki. Je, hii si damu ya watu ambao walikwenda kwa kuhatarisha maisha yao?” Naye Daudi hakuyanywa. Haya yalifanywa na hao mashujaa watatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Iwe mbali nami, Ee bwana, kufanya kitu hiki. Je, hii si damu ya watu ambao walikwenda kwa kuhatarisha maisha yao?” Naye Daudi hakuyanywa. Haya yalifanywa na hao mashujaa watatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Hasha, BWANA, nisifanye hivi; je! Si damu hii ya watu hao waliohatarisha nafsi zao? Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akisema, “Kamwe, sina haki ya kunywa maji haya, ee Mwenyezi-Mungu; je, haya si kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kuyaleta maji haya?” Kwa hiyo, Daudi hakuyanywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Bwana na anizuie, nisifanye kama hayo! Kumbe siyo damu za waume hao waliokwenda kwa kujitoa wenyewe? Kwa hiyo hakutaka kuyanywa. Haya waliyafanya wale mafundi wa vita watatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Hasha, BWANA, nisifanye hivi; je! Si damu hii ya watu hao waliohatirisha nafsi zao? Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akisema: “Sina haki hata kidogo ya kunywa maji haya, ee Yawe. Maji haya si ni kama damu ya wale walioyahatarisha maisha yao kwa kuyaleta?” Kwa hiyo, Daudi hakuyakunywa maji hayo. Hayo ndiyo mambo waliyotenda wale mashujaa watatu.