2 Samuel 23:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, huyo hakuwa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa watatu? Kwa hiyo akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hakupata heshima kubwa kuliko hao Watatu? Alikuwa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Huyo hakuwa na heshima maalumu miongoni mwa wale watatu? Kwa hiyo akawekwa kuwa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, huyo hakuwa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa watatu? Kwa hiyo akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hakupata heshima kubwa zaidi kuliko hao Watatu? Alikuwa jemadari wao, ingawa hakuwekwa miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hakupata heshima kubwa zaidi kuliko hao Watatu? Alikuwa jemadari wao, ingawa hakuhesabiwa miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Huyo hakuwa na heshima maalumu miongoni mwa wale watatu? Kwa hiyo akawekwa kuwa kamanda wao; ila hakuweza kuwa kama wale watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, huyo hakuwa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa watatu? Kwa hiyo akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao hao watatu aliheshimiwa kweli kuliko wengine, akawa mkuu wao, lakini wale watatu wa kwanza hakuwa sawa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Huyo hakuwa na heshima maalumu miongoni mwa wale watatu? Kwa hiyo akawekwa kuwa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na heshima zaidi kati ya wale mashujaa makumi tatu. Kwa hiyo akakuwa jemadari wao, lakini hakukuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.