2 Samuel 23:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Roho wa Mwenyezi Mungu alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa katika ulimi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho ya Bwana ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Roho wa BWANA alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa ulimini mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Roho wa bwana alinena kupitia kwangu, neno lake lilikuwa ulimini mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Roho ya Mwenyezi-Mungu imesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake kinywani mwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya Bwana hunitumia kuwa wa kusema, Neno lake limo kinywani mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho ya BWANA ilinena ndani yangu, Na neno lake likawa ulimini mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho wa Yawe amesema kwa njia yangu, aliyaweka maneno yake katika kinywa changu.