2 Samuel 23:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmoja wa mashujaa thelathini. Mashujaa wengine wa Daudi walikuwa: Elhanani, mwana wa Dodo wa Bethlehemu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miongoni mwa wale Thelathini walikuwa: Asaheli ndugu wa Yoabu; Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmojawapo wa wale thelathini; na Elhanani, mwana wa Dodo, wa Bethlehemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmoja wa mashujaa thelathini. Mashujaa wengine wa Daudi walikuwa: Elhanani, mwana wa Dodo wa Bethlehemu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miongoni mwa wale Thelathini walikuwepo: Asaheli ndugu wa Yoabu; Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miongoni mwa wale Thelathini walikuwepo: Asaheli ndugu wa Yoabu; Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmojawapo wa wale thelathini; na Elhanani, mwana wa Dodo, wa Bethlehemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmoja wa mashujaa thelathini. Mashujaa wengine wa Daudi walikuwa: Elhanani, mwana wa Dodo wa Bethlehemu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwao wakuu wa 30 walikuwa: Asaheli, ndugu yake Yoabu; Elihanani, mwana wa Dodo wa Beti-Lehemu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asaheli, nduguye Yoabu, alikuwa mmojawapo wa wale thelathini; na Elhanani, mwana wa Dodo, wa Bethlehemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asaeli ndugu ya Yoabu, alikuwa mumoja wa mashujaa makumi tatu. Mashujaa wengine wa Daudi walikuwa: Elihanani, mwana wa Dodo wa Betelehemu;