2 Samuel 23:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Helebu mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai, toka Gibea katika Benyamini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heledi mwana wa Baana Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Helebu mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai, toka Gibea katika Benyamini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Ithai mwana wa Ribai kutoka Gibea katika Benyamini;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Helebu mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai, toka Gibea katika Benyamini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Helebu, mwana wa Baana, wa Netofa, Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Helebu mwana wa Bana wa muji Netofa; Itayi mwana wa Ribayi toka Gibea katika kabila la Benjamina;