2 Samuel 23:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Seleki Mwamoni; Naharai Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Seleki, Mwaamori; Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mchukuzi wa silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwamoni Seleki, Naharai wa Beroti aliyekuwa mchukua mata wa Yoabu, mwana wa Seruya;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Seleki, Mwamoni, na Naharai, Mbeerothi, ambao ni wachukua silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zeleki wa inchi ya Waamoni; Naharayi wa muji Beroti aliyekuwa mubebaji wa silaha wa Yoabu mwana wa Zeruya;