2 Samuel 23:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Uria, Mhiti. Wote pamoja walikuwa mashujaa thelathini na saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na Uria Mhiti. Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Uria, Mhiti; jumla yao ilikuwa watu thelathini na saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Uria, Mhiti. Wote pamoja walikuwa mashujaa thelathini na saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na Uria, Mhiti. Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na Uria, Mhiti. Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Uria, Mhiti; idadi yao ilikuwa watu thelathini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Uria, Mhiti. Wote pamoja walikuwa mashujaa thelathini na saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mhiti Uria. Wote pamoja ni 37.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Uria, Mhiti; jumla yao ilikuwa watu thelathini na saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Uria wa inchi ya Wahiti. Wote pamoja walikuwa mashujaa makumi tatu na saba.