2 Samuel 23:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua unaochipuza majani kutoka ardhini.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo, Asubuhi isiyo na mawingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo, Asubuhi isiyo na mawingu. Likichipuza mimea ardhini, Kwa mwangaza baada ya mvua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hufanana na mwanga wa asubuhi, jua linapokucha, huwa kama mapema ya asubuhi yasiyo na mawingu, majani mabichi huchipuka nchini, mvua ikiisha kuanuka; ni kwa nguvu za kuangaza kwake, vikiwa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo, Asubuhi isiyo na mawingu. Lachipuza majani mabichi juu ya nchi, Kwa mwangaza baada ya mvua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
yeye ni kama mwangaza wa asubui, jua linapochomoza asubui isiyokuwa na mawingu. Yeye ni kama mvua inayootesha majani juu ya udongo.