2 Samuel 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wasiomcha Mungu wote ni kama miiba inayotupwa tu, maana haiwezi kuchukuliwa kwa mkono;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watu waovu wote watatupwa kando kama miiba, ambayo haikusanywi kwa mkono.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hatawachipuza watu wa ubatili; Watakuwa wote kama miiba ya nyikani ya kutupwa, Ambayo haivuniki kwa mkono,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wasiomcha Mungu wote ni kama miiba inayotupwa tu, maana haiwezi kuchukuliwa kwa mkono;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu waovu wote watatupwa kando kama miiba, ambayo haikusanywi kwa mkono.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu waovu wote watatupwa kando kama miiba, ambayo haikusanywi kwa mkono.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hatawachipuza watu wasiofaa; Watakuwa wote kama miiba ya nyikani ya kutupwa, Maana haichukuliki kwa mkono,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wasiomcha Mungu wote ni kama miiba inayotupwa tu, maana haiwezi kuchukuliwa kwa mkono;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wote wasiofaa ni kama miiba inayotupwa tu, kwani haishikiki mikononi mwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hatawachipuza watu wa ubatili; Watakuwa wote kama miiba ya nyikani ya kutupwa, Ambayo haivuniki kwa mkono,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu waovu wote ni kama miiba inayotupwa tu, maana haiwezi kukamatwa kwa mukono;