2 Samuel 23:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuishika, lazima kutumia chuma au mpini wa mkuki. Watu hao wataangamizwa kabisa kwa moto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote agusaye miiba hutumia chombo cha chuma au mpini wa mkuki, nayo huchomwa pale ilipo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuishika, lazima kutumia chuma au mpini wa mkuki. Watu hao wataangamizwa kabisa kwa moto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote agusaye miiba hutumia chombo cha chuma au mpini wa mkuki, nayo huchomwa pale ilipo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote agusaye miiba hutumia chombo cha chuma au mpini wa mkuki, nayo huchomwa pale ilipo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuishika, lazima kutumia chuma au mpini wa mkuki. Watu hao wataangamizwa kabisa kwa moto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu atakaye kuwajia hutumia vyuma tele na uti wa mkuki, kisha huteketezwa kwa moto papo hapo, walipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa kuigusa, sherti kutumia chuma au mupini wa mukuki. Watu hao wataangamizwa kabisa kwa moto.