2 Samuel 24:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipoamka kesho yake asubuhi, wakati huo Mwenyezi-Mungu alimpa ujumbe nabii Gadi mwonaji wa mfalme Daudi, akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla Daudi hajaamka kesho yake asubuhi, neno la Mwenyezi Mungu lilikuwa limemjia Gadi nabii, aliyekuwa mwonaji wa Daudi, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Daudi alipoondoka asubuhi, neno la Bwana likamjia nabii Gadi, mwonaji wake Daudi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipoamka kesho yake asubuhi, wakati huo Mwenyezi-Mungu alimpa ujumbe nabii Gadi mwonaji wa mfalme Daudi, akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla Daudi hajaamka kesho yake asubuhi, neno la BWANA lilikuwa limemjia Gadi nabii, aliyekuwa mwonaji wa Daudi, kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla Daudi hajaamka kesho yake asubuhi, neno la bwana lilikuwa limemjia Gadi nabii, aliyekuwa mwonaji wa Daudi, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Daudi alipoondoka asubuhi, neno la BWANA likamjia nabii Gadi, mwonaji wake Daudi, na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipoamka kesho yake asubuhi, wakati huo Mwenyezi-Mungu alimpa ujumbe nabii Gadi mwonaji wa mfalme Daudi, akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipoamka kesho yake, neno la Bwana likamjia mfumbuaji Gadi aliyekuwa mchunguzaji wa Dawidi, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Daudi alipoondoka asubuhi, neno la BWANA likamjia nabii Gadi, mwonaji wake Daudi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipoamuka kesho yake asubui, neno la Yawe lilimufikia nabii Gadi, mwonaji wa mufalme Daudi, kusema hivi: