2 Samuel 24:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi, tangu asubuhi hadi wakati uliopangwa. Watu 70,000 walikufa nchini kote kutoka Dani mpaka Beer-sheba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mwenyezi Mungu akatuma tauni katika Israeli kuanzia asubuhi hadi muda ulioamriwa, wakafa watu elfu sabini kuanzia Dani hadi Beer-Sheba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hata wakati ulioamriwa; nao wakafa watu toka Dani mpaka Beer-sheba sabini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi, tangu asubuhi hadi wakati uliopangwa. Watu 70,000 walikufa nchini kote kutoka Dani mpaka Beer-sheba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi BWANA akaruhusu tauni katika Israeli kuanzia asubuhi mpaka mwisho wa muda ulioamuriwa, wakafa watu 70,000 kuanzia Dani hadi Beer-Sheba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi bwana akatuma tauni katika Israeli kuanzia asubuhi mpaka mwisho wa muda ulioamriwa, wakafa watu 70,000 kuanzia Dani hadi Beer-Sheba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hadi wakati ulioamriwa; nao wakafa watu elfu sabini toka Dani mpaka Beer-sheba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akawaletea Waisraeli maradhi, tangu asubuhi hadi wakati uliopangwa. Watu 70,000 walikufa nchini kote kutoka Dani mpaka Beer-sheba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipowauguza Waisiraeli ugonjwa mbaya uuao tangu asubuhi, mpaka utimie muda, aliouweka. Toka Dani mpaka Beri-Seba wakafa kwao walio wa ukoo huo watu 70000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hata wakati ulioamriwa; nao wakafa watu toka Dani mpaka Beer-sheba sabini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akawaletea Waisraeli ugonjwa, tangu asubui mpaka wakati uliopangwa. Watu elfu makumi saba walikufa katika inchi yote kutoka Dani mpaka Beri-Seba.