2 Samuel 24:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee Mwenyezi Mungu madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna Myebusi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie Bwana madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee BWANA madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna, Myebusi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee bwana madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna Myebusi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, “Panda juu, ukamjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu, katika kiwanja cha kupuria nafaka cha Arauna, Myebusi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo Gadi akaja kwake Dawidi, akamwambia: Mtengenezee Bwana pa kutambikia penye kupuria ngano pa Myebusi Arauna!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia: “Panda juu, umujengee Yawe mazabahu, katika kiwanja cha kupepetea ngano cha Arauna wa muji wa Yebusi.”