2 Samuel 24:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Daudi akakwea kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa ameamuru kwa kinywa cha Gadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, kama Bwana alivyoamuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Daudi akapanda kama vile BWANA alivyokuwa ameamuru kwa kinywa cha Gadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Daudi akakwea kama vile bwana alivyokuwa ameamuru kwa kinywa cha Gadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akakwea kama alivyoagizwa na Gadi, kama BWANA alivyoamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hilo neno la Gadi Dawidi akapanda, kama Bwana alivyoagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akakwea sawasawa na neno la Gadi, kama BWANA alivyoamuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi akapanda juu kufuatana na neno la Gadi kama Yawe alivyomwamuru.