2 Samuel 24:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi vyote, ee mfalme, nakupa. Natumaini Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atapokea sadaka yako kwa wema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee mfalme, Arauna anatoa vyote hivi kwa mfalme.” Pia Arauna akamwambia mfalme, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na akukubali.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vitu hivi vyote, Ee mfalme, mimi Arauna nakupa wewe mfalme. Kisha Arauna akamwambia mfalme, Bwana, Mungu wako, na akukubali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi vyote, ee mfalme, nakupa. Natumaini Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atapokea sadaka yako kwa wema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee mfalme, Arauna anatoa vyote hivi kwa mfalme.” Pia Arauna akamwambia mfalme, “BWANA Mungu wako na akukubali.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee mfalme, Arauna anatoa vyote hivi kwa mfalme.” Pia Arauna akamwambia mfalme, “ bwana Mwenyezi Mungu wako na akukubali.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vitu hivi vyote, Ee mfalme, mimi Arauna nakupa wewe mfalme. Kisha Arauna akamwambia mfalme, BWANA, Mungu wako, na akukubali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi vyote, ee mfalme, nakupa. Natumaini Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atapokea sadaka yako kwa wema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya yote, mfalme, Arauna anampa mfalme. Kisha Arauna akamwambia mfalme: Bwana Mungu wako na apendezwe na wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vitu hivi vyote, Ee mfalme, mimi Arauna nakupa wewe mfalme. Kisha Arauna akamwambia mfalme, BWANA, Mungu wako, na akukubali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakupa hivi vyote, ee mufalme. Ninatumaini Yawe, Mungu wako, atapokea sadaka yako kwa wema.”