2 Samuel 24:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walivuka mto Yordani wakianzia kuhesabu watu tangu Aroeri na mto ulioko bondeni kuelekea Gadi hadi Yazeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuvuka Yordani, walipiga kambi karibu na Aroeri, kusini mwa mji ulioko kwenye bonde jembamba, ndipo wakipitia Gadi, wakaenda hadi Yazeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakavuka Yordani, wakapiga kambi huko Aroeri, upande wa kuume wa mji ulioko kati ya bonde la Gadi, na mpaka Yazeri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walivuka mto Yordani wakianzia kuhesabu watu tangu Aroeri na mto ulioko bondeni kuelekea Gadi hadi Yazeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kuvuka Yordani, walipiga kambi karibu na Aroeri, kusini ya mji ulioko kwenye bonde jembamba, ndipo wakipitia Gadi, wakaenda hadi Yazeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuvuka Yordani, walipiga kambi karibu na Aroeri, kusini ya mji ulioko kwenye bonde jembamba, ndipo wakipitia Gadi, wakaenda hadi Yazeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakavuka Yordani, wakapiga kambi huko Aroeri, upande wa kulia wa mji ulioko kati ya bonde la Gadi, na mpaka Yazeri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walivuka mto Yordani wakianzia kuhesabu watu tangu Aroeri na mto ulioko bondeni kuelekea Gadi hadi Yazeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuuvuka Yordani wakapiga kambi kule Aroeri kuumeni kwa mji ulioko katikati ya Bonde la Gadi kuelekea Yazeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakavuka Yordani, wakapiga kambi huko Aroeri, upande wa kuume wa mji ulioko kati ya bonde la Gadi, na mpaka Yazeri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walivuka muto Yordani wakianzia kuhesabu watu tangu Aroeri na muto unaokuwa katika bonde kuelekea Gadi mpaka Yazeri.