2 Samuel 24:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wakaenda Gileadi halafu Kadeshi katika nchi ya Wahiti, halafu wakawasili Dani na kutoka Dani wakazunguka kwenda Sidoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walienda hadi Gileadi na pia eneo la Tahtimu-Hodshi, wakaendelea hadi Dani-Yaani na kuzunguka kuelekea Sidoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha wakaja Gileadi, na nchi ya Wahiti huko Kadeshi; kisha wakaja Dani, na kutoka Dani wakazunguka mpaka Sidoni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wakaenda Gileadi halafu Kadeshi katika nchi ya Wahiti, halafu wakawasili Dani na kutoka Dani wakazunguka kwenda Sidoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walikwenda mpaka Gileadi pia eneo la Tahtimu-Hodshi, wakaendelea mpaka Dani-Yaani na kuzunguka kuelekea Sidoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikwenda hadi Gileadi na pia eneo la Tahtimu-Hodshi, wakaendelea hadi Dani-Yaani na kuzunguka kuelekea Sidoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha wakaja Gileadi, na nchi ya Wahiti huko Kadeshi; kisha wakaja Dani, na kutoka Dani wakazunguka mpaka Sidoni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wakaenda Gileadi halafu Kadeshi katika nchi ya Wahiti, halafu wakawasili Dani na kutoka Dani wakazunguka kwenda Sidoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakafika Gileadi na nchi ya Tatimu-Hodisi, kisha wakafika Dani-Yani, wakazunguka kwenda Sidoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha wakaja Gileadi, na nchi ya Wahiti huko Kadeshi; kisha wakaja Dani, na kutoka Dani wakazunguka mpaka Sidoni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, wakaenda Gileadi halafu Kadesi katika inchi ya Wahiti, halafu wakafika Dani na kutoka Dani wakazunguka kwenda Sidona,