2 Samuel 24:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kufika kwenye ngome ya mji wa Tiro, wakaingia kwenye miji yote ya Wahivi na Wakanaani. Kisha, walitoka wakaenda Negebu ya Yuda huko Beer-sheba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakaelekea ngome ya Tiro pamoja na miji yote ya Wahivi na ya Wakanaani. Mwishoni, walienda Beer-Sheba katika Negebu ya Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaja ngomeni kwa Tiro, na kwa miji yote ya Wahivi, na ya Wakanaani; tena wakatoka kusini kwa Yuda huko Beer-sheba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kufika kwenye ngome ya mji wa Tiro, wakaingia kwenye miji yote ya Wahivi na Wakanaani. Kisha, walitoka wakaenda Negebu ya Yuda huko Beer-sheba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakaenda kuelekea ngome ya Tiro pamoja na miji yote ya Wahivi na ya Wakanaani. Mwishoni, walikwenda mpaka Beer-Sheba katika Negebu ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaenda kuelekea ngome ya Tiro pamoja na miji yote ya Wahivi na ya Wakanaani. Mwishoni, walikwenda mpaka Beer-Sheba katika Negebu ya Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaja ngomeni kwa Tiro, na kwa miji yote ya Wahivi, na ya Wakanaani; tena wakaenda katika Negebu ya Yuda huko Beer-sheba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kufika kwenye ngome ya mji wa Tiro, wakaingia kwenye miji yote ya Wahivi na Wakanaani. Kisha, walitoka wakaenda Negebu ya Yuda huko Beer-sheba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakafika katika boma la Tiro, hata miji yote ya Wahiti na ya Wakaanani wakaiingia, kisha wakatoka kwenda kusini kuingia Yuda mpaka Beri-Seba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaja ngomeni kwa Tiro, na kwa miji yote ya Wahivi, na ya Wakanaani; tena wakatoka kusini kwa Yuda huko Beer-sheba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kufika kwenye ukuta wa muji wa Tiro, wakaingia kwenye miji yote ya Wahivi na ya Wakanana. Kisha, walitoka wakaenda Negebu ya Yuda kule Beri-Seba.