2 Samuel 24:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kupita katika nchi nzima, walirudi Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokwisha kuzunguka nchi yote, wakaja Yerusalemu mwisho wa miezi kenda na siku ishirini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kupita katika nchi nzima, walirudi Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kupita katika nchi nzima, walirudi Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokwisha kuzunguka nchi yote, wakaja Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuzunguka katika nchi zote, wakafika Yerusalemu, miezi 9 na siku 20 zilipokwisha pita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokwisha kuzunguka nchi yote, wakaja Yerusalemu mwisho wa miezi kenda na siku ishirini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kupita katika inchi yote, walirudia Yerusalema nyuma ya miezi kenda na siku makumi mbili.