2 Samuel 24:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Yoabu alimpelekea mfalme idadi ya watu. Katika Israeli kulikuwamo wanaume mashujaa 800,000 wenye ujuzi wa kutumia mapanga; na katika Yuda, kulikuwa na wanaume 500,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu akamtolea mfalme idadi ya wapiganaji: Katika Israeli kulikuwa wanaume wenye uwezo elfu mia nane ambao wangeweza kutumia upanga, na katika Yuda watu elfu mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa wenye kufuta panga mia nane elfu; nao wa Yuda walikuwa watu mia tano elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Yoabu alimpelekea mfalme idadi ya watu. Katika Israeli kulikuwamo wanaume mashujaa 800,000 wenye ujuzi wa kutumia mapanga; na katika Yuda, kulikuwa na wanaume 500,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu akatoa hesabu ya wapiganaji kwa mfalme: Katika Israeli kulikuweko watu 800,000 wenye uwezo wa kupigana na katika Yuda watu 500,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu akatoa hesabu ya wapiganaji kwa mfalme: Katika Israeli kulikuwako watu 800,000 wenye uwezo wa kupigana, na katika Yuda watu 500,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa elfu mia nane wenye kufuta panga; nao wa Yuda walikuwa watu elfu mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Yoabu alimpelekea mfalme idadi ya watu. Katika Israeli kulikuwamo wanaume mashujaa 800,000 wenye ujuzi wa kutumia mapanga; na katika Yuda, kulikuwa na wanaume 500,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoabu alipompa mfalme jumla ya hesabu za watu: Waisiraeli wenye nguvu wanaoweza kushika panga walikuwa watu 800000, nao Wayuda watu 500000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa wenye kufuta panga mia nane elfu; nao wa Yuda walikuwa watu mia tano elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yoabu alimupelekea mufalme jumla ya watu. Katika inchi ya Israeli kulikuwa wanaume mashujaa elfu mia ine wenye ujuzi wa kutumia mapanga; na katika Yuda, kulikuwa wanaume elfu mia tano.