2 Samuel 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye hakuweza tena kumjibu Abineri hata neno moja kwa kumwogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isiboseti hakuweza kusema neno, kwa sababu alikuwa anamwogopa Abeneri.