2 Samuel 3:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abneri alifanya mashauri na wazee wa Israeli, akawaambia, “Kwa muda fulani uliopita mmekuwa mkitaka Daudi awe mfalme wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abneri akafanya shauri pamoja na wazee wa Israeli, akasema, “Muda mrefu mmetaka kumfanya Daudi mfalme wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abneri akafanya mashauri na wazee wa Israeli, akasema, Zamani mlitaka Daudi awamiliki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abneri alifanya mashauri na wazee wa Israeli, akawaambia, “Kwa muda fulani uliopita mmekuwa mkitaka Daudi awe mfalme wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abneri akafanya shauri pamoja na wazee wa Israeli, akasema, “Muda mrefu mmetaka kumfanya Daudi mfalme wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abneri akafanya shauri pamoja na wazee wa Israeli, akasema, “Muda mrefu mmetaka kumfanya Daudi mfalme wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abneri akafanya mashauri na wazee wa Israeli, akasema, Zamani mlitaka Daudi awamiliki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abneri alifanya mashauri na wazee wa Israeli, akawaambia, “Kwa muda fulani uliopita mmekuwa mkitaka Daudi awe mfalme wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Abineri akasema na wazee wa Waisiraeli kwamba: Tangu jana na juzi mlikuwa mkimtaka Dawidi, awe mfalme wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abneri akafanya mashauri na wazee wa Israeli, akasema, Zamani mlitaka Daudi awamiliki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abeneri alifanya mashauri na wazee wa Waisraeli, akawaambia: “Kwa muda fulani uliopita mumekuwa mukitaka Daudi akuwe mufalme wenu.