2 Samuel 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wa kiume aliozaliwa Daudi huko Hebroni walikuwa: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza, mama yake alikuwa Ahinoamu kutoka Yezreeli;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akazaliwa wana huko Hebroni; mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wa kiume aliozaliwa Daudi huko Hebroni walikuwa: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza, mama yake alikuwa Ahinoamu kutoka Yezreeli;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akazaliwa wana huko Hebroni; mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wa kiume aliozaliwa Daudi huko Hebroni walikuwa: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza, mama yake alikuwa Ahinoamu kutoka Yezreeli;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi akazaa wana huko Heburoni: mwanawe wa kwanza alikuwa Amunoni wa Ahinoamu wa Izireeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akazaliwa wana huko Hebroni; mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, wa Ahinoamu wa Yezreeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana ambao wake wa Daudi walimuzalia kule Hebroni walikuwa: Amunoni muzaliwa wake wa kwanza, mama yake aliitwa Ahinoamu wa muji wa Yezereheli;