2 Samuel 3:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abneri alipomwendea Daudi, alikuwa na watu ishirini, Daudi aliwafanyia karamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abneri, aliyekuwa na watu ishirini pamoja naye, alipokuja kwa Daudi huko Hebroni, Daudi akamwandalia karamu pamoja na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Abneri akamwendea Daudi huko Hebroni, na watu ishirini pamoja naye. Daudi akamfanyia karamu Abneri, na watu wote waliokuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abneri alipomwendea Daudi, alikuwa na watu ishirini, Daudi aliwafanyia karamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Abneri aliyekuwa na watu ishirini pamoja naye, alipokuja kwa Daudi huko Hebroni, Daudi akamwandalia karamu pamoja na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Abneri aliyekuwa na watu ishirini pamoja naye, alipokuja kwa Daudi huko Hebroni, Daudi akamwandalia karamu pamoja na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Abneri akamwendea Daudi huko Hebroni, akiwa na watu ishirini. Daudi akamfanyia karamu Abneri, na watu wote waliokuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abneri alipomwendea Daudi, alikuwa na watu ishirini, Daudi aliwafanyia karamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abineri alipofika Heburoni kwake Dawidi pamoja na watu 20, Dawidi akamfanyizia karamu Abineri pamoja na wale watu waliokuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Abneri akamwendea Daudi huko Hebroni, na watu ishirini pamoja naye. Daudi akamfanyia karamu Abneri, na watu wote waliokuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abeneri alipomwendea Daudi, alikuwa na watu makumi mbili. Daudi aliwafanyia karamu.