2 Samuel 3:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu alimwendea mfalme na kumwambia, “Sasa umefanya nini? Tazama Abneri alikuja kwako, kwa nini umemwacha aende?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yoabu alienda kwa mfalme na kumwambia, “Ni nini hiki ulichofanya? Tazama, Abneri alikuja kwako. Kwa nini ukamwacha aende? Sasa ameenda!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoabu akamwendea mfalme, akasema, Umefanyaje? Tazama, Abneri amekuja kwako; mbona umemruhusu, naye amekwisha kwenda zake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu alimwendea mfalme na kumwambia, “Sasa umefanya nini? Tazama Abneri alikuja kwako, kwa nini umemwacha aende?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yoabu alikwenda kwa mfalme na kumwambia, “Ni nini hiki ulichofanya? Tazama, Abneri alikujia. Kwa nini ukamwacha aende? Sasa amekwenda!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yoabu alikwenda kwa mfalme na kumwambia, “Ni nini hiki ulichofanya? Tazama, Abneri alikuja kwako. Kwa nini ukamwacha aende? Sasa amekwenda!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoabu akamwendea mfalme, akasema, Umefanyaje? Tazama, Abneri amekuja kwako; mbona umemruhusu, naye amekwisha kwenda zake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu alimwendea mfalme na kumwambia, “Sasa umefanya nini? Tazama Abneri alikuja kwako, kwa nini umemwacha aende?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoabu alipokuja kwa mfalme, akamwambia: Umefanya nini? Tazama, Abineri alipofika kwako, mbona umempa ruhusa, akapata kwenda zake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoabu akamwendea mfalme, akasema, Umefanyaje? Tazama, Abneri amekuja kwako; mbona umemruhusu, naye amekwisha kwenda zake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu alimwendea mufalme na kumwambia: “Sasa umefanya nini? Angalia Abeneri alikuja kwako; kwa nini umemwacha aende?