2 Samuel 3:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, unajua kuwa Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya? Alikuja ili ajue mienendo yako na yale unayoyafanya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unajua Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya na kuchunguza mienendo yako, na kugundua kila kitu unachokifanya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe wamjua Abneri, mwana wa Neri, ya kuwa alikuja ili kukudanganya, apate kujua kutoka kwako, na kuingia kwako, akajue yote uyatendayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, unajua kuwa Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya? Alikuja ili ajue mienendo yako na yale unayoyafanya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajua Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya na kuchunguza nyendo zako na kupata kila kitu unachokifanya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajua Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya na kuchunguza nyendo zako na kupata kila kitu unachokifanya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe unamjua Abneri, mwana wa Neri, ya kuwa alikuja ili kukudanganya, apate kujua kutoka kwako, na kuingia kwako, akajue yote uyatendayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, unajua kuwa Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya? Alikuja ili ajue mienendo yako na yale unayoyafanya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humjui Abineri, mwana na Neri ya kuwa amekuja tu kukudanganya, apate kujua kutoka kwako na kuingia kwako na kuyajua yote, wewe unayoyafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe wamjua Abneri, mwana wa Neri, ya kuwa alikuja ili kukudanganya, apate kujua kutoka kwako, na kuingia kwako, akajue yote uyatendayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajua kwamba Abeneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya? Alikuja kusudi ajue mienendo yako na yale unayoyafanya.”