2 Samuel 3:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Daudi aliposikia habari hizo alisema, “Mimi na ufalme wangu hatuna hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye, Daudi aliposikia kuhusu jambo hili, akasema, “Mimi na ufalme wangu kamwe hatuna hatia mbele za Mwenyezi Mungu kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata baadaye Daudi aliposikia, akasema, Mimi na ufalme wangu hatuna hatia milele mbele za Bwana, kwa sababu ya damu ya Abneri, mwana wa Neri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Daudi aliposikia habari hizo alisema, “Mimi na ufalme wangu hatuna hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye, Daudi aliposikia kuhusu jambo hili, akasema, “Mimi na ufalme wangu kamwe hatuna hatia mbele za BWANA kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye, Daudi aliposikia kuhusu jambo hili, akasema, “Mimi na ufalme wangu kamwe hatuna hatia mbele za bwana kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata baadaye Daudi aliposikia, akasema, Mimi na ufalme wangu hatuna hatia milele mbele za BWANA, kwa sababu ya damu ya Abneri, mwana wa Neri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Daudi aliposikia habari hizo alisema, “Mimi na ufalme wangu hatuna hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye Dawidi alipoyasikia akasema: Mimi na ufalme wangu hatumo kale na kale katika damu ya Abineri, mwana wa Neri, naye Bwana anavijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata baadaye Daudi aliposikia, akasema, Mimi na ufalme wangu hatuna hatia milele mbele za BWANA, kwa sababu ya damu ya Abneri, mwana wa Neri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya pale Daudi aliposikia habari hizo alisema: “Mimi na ufalme wangu hatuna kosa mbele ya Yawe juu ya damu ya Abeneri mwana wa Neri.