2 Samuel 3:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu na ndugu yake Abishai walimuua Abneri kwa kuwa alikuwa amemuua ndugu yao Asaheli wakati wa vita huko Gibeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Yoabu na Abishai ndugu yake walimuua Abneri kwa sababu alikuwa amemuua Asaheli ndugu yao katika vita huko Gibeoni.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoabu, na Abishai nduguye, walimwua Abneri, kwa sababu yeye alimwua ndugu yao Asaheli katika vita huko Gibeoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu na ndugu yake Abishai walimuua Abneri kwa kuwa alikuwa amemuua ndugu yao Asaheli wakati wa vita huko Gibeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Yoabu na Abishai ndugu yake walimwua Abneri kwa sababu alikuwa amemwua Asaheli ndugu yao katika vita huko Gibeoni.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Yoabu na Abishai ndugu yake walimuua Abneri kwa sababu alikuwa amemuua Asaheli ndugu yao katika vita huko Gibeoni.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoabu, na Abishai nduguye, walimwua Abneri, kwa sababu yeye alimwua ndugu yao Asaheli katika vita huko Gibeoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu na ndugu yake Abishai walimuua Abneri kwa kuwa alikuwa amemuua ndugu yao Asaheli wakati wa vita huko Gibeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yoabu na ndugu yake Abisai walimwua Abineri, kwa kuwa alimwua ndugu yao Asaheli kule Gibeoni katika mapigano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoabu, na Abishai nduguye, walimwua Abneri, kwa sababu yeye alimwua ndugu yao Asaheli katika vita huko Gibeoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu na ndugu yake Abisayi walimwua Abeneri kwa sababu alikuwa amemwua ndugu yao Asaeli wakati wa vita kule Gibeoni.