2 Samuel 3:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abneri alizikwa huko Hebroni na mfalme aliomboleza kwa sauti akiwa kando ya kaburi, pia watu wengine wote walifanya vivyo hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamzika Abneri huko Hebroni, naye mfalme akalia kwa sauti kwenye kaburi la Abneri. Pia watu wote wakalia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abneri alizikwa huko Hebroni na mfalme aliomboleza kwa sauti akiwa kando ya kaburi, pia watu wengine wote walifanya vivyo hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamzika Abneri huko Hebroni, naye mfalme akalia kwa sauti kwenye kaburi la Abneri. Pia watu wote wakalia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamzika Abneri huko Hebroni, naye mfalme akalia kwa sauti kwenye kaburi la Abneri. Pia watu wote wakalia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abneri alizikwa huko Hebroni na mfalme aliomboleza kwa sauti akiwa kando ya kaburi, pia watu wengine wote walifanya vivyo hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomzika Abineri kule Heburoni, mfalme akaipaza sauti yake na kulia kule kaburini kwake Abineri, nao watu wote wakalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamzika Abneri katika Hebroni; naye mfalme akapaza sauti yake, akalia kaburini kwa Abneri, nao watu wote wakalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abeneri alizikwa kule Hebroni na mufalme aliomboleza kwa sauti akiwa pembeni ya kaburi. Watu wengine wote walifanya vile vile.