2 Samuel 3:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikono yako haikufungwa, miguu yako haikufungwa pingu. Ulianguka kama yeye aangukaye mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikono yako haikufungwa, miguu yako haikufungwa pingu. Ulianguka kama yeye aangukaye mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikono yako haikufungwa, miguu yako haikufungwa pingu. Ulianguka kama yeye aangukaye mbele ya watu waovu.” Nao watu wote wakamlilia tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa pingu. Amekufa kama mtu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimlilia tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikono yako haikufungwa, wala miguu yako haikutiwa pingu! Kama mtu anavyoangushwa nao wenye maovu, ndivyo, ulivyoangushwa nawe wewe! Ndipo, watu wote walipoendelea kumlilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikono yako haikufungwa, Wala miguu yako haikutiwa pingu; Aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka. Na watu wote wakaongeza kumlilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikono yako haikufungwa na miguu yako haikutiwa minyororo. Amekufa kama mutu aliyeuawa na waovu!” Na watu wote walimulilia tena.