2 Samuel 3:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliyaona mambo hayo, nao walipendezwa; kama vile kila kitu alichofanya mfalme kilivyowapendeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote wakaona hilo nao ikawapendeza; naam, kila kitu mfalme alichofanya kiliwapendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaangalia watu wote, yakawa mema machoni pao; kama yalivyokuwa mema machoni pao yote aliyoyatenda mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliyaona mambo hayo, nao walipendezwa; kama vile kila kitu alichofanya mfalme kilivyowapendeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wakaona hilo nao ikawapendeza; naam, kila kitu mfalme alichofanya kiliwapendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wakaona hilo nao ikawapendeza; naam, kila kitu mfalme alichofanya kiliwapendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaangalia watu wote, yakawa mema machoni pao; kama yalivyokuwa mema machoni pao yote aliyoyatenda mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliyaona mambo hayo, nao walipendezwa; kama vile kila kitu alichofanya mfalme kilivyowapendeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote walipoyaona kuwa kweli, yakawa mema machoni pao, kama mengine yote, mfalme aliyoyafanya, yalivyokuwa mema machoni pa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaangalia watu wote, yakawa mema machoni pao; kama yalivyokuwa mema machoni pao yote aliyoyatenda mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliyaona mambo hayo, nao walipendezwa; kama vile kila kitu mufalme alichofanya kilivyowapendeza.