2 Samuel 3:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye wa nne alikuwa Adonia, mwana wa Hagiti, naye wa tano alikuwa Sefatia, mwana wa Abitali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Adonia muzaliwa wa ine, mama yake alikuwa Hagiti; Sefatia muzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali;