2 Samuel 3:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Ithreamu, mzaliwa wake wa sita, mama yake alikuwa Egla, mke wake Daudi. Daudi alizaliwa wana hawa wote alipokuwa huko Hebroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wa sita Ithreamu, wa Egla, mkewe Daudi. Hawa walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Ithreamu, mzaliwa wake wa sita, mama yake alikuwa Egla, mke wake Daudi. Daudi alizaliwa wana hawa wote alipokuwa huko Hebroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi. Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wa sita Ithreamu, wa Egla, mkewe Daudi. Hawa walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Ithreamu, mzaliwa wake wa sita, mama yake alikuwa Egla, mke wake Daudi. Daudi alizaliwa wana hawa wote alipokuwa huko Hebroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye wa sita alikuwa Itiramu, mwana wa Egla, mkewe Dawidi. Hawa ndio waliozaliwa kwake Dawidi huko Heburoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wa sita Ithreamu, wa Egla, mkewe Daudi. Hawa walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Itiramu muzaliwa wake wa sita, mama yake alikuwa Egla, muke wa kwanza wa Daudi. Wake wa Daudi walimuzalia wana hawa wote alipokuwa kule Hebroni.